1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days.
2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia
kujua wakati hasa mwanamke ameengua yai na ndio kipindi
ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na mumewe. Ni
rahisi kutumia.
3. Fanya tendo la ndoa kabla ya kuengua yai (kabla ya ovulation),
huongeza uwezekano wa kushika mimba kuliko kusubiria
ovulation au kufanya baada ya ovulation. Kutaneni siku mbili au tatu
kabla ya ovulation. Ukitumia ovulation test kit, mkutane
kuanzia siku itakapokuwa positive kwani huwa inapredict ovulation
kutokea 48 hrs after it tests positive.
4. Usitegemee njia ya kalenda kutabiri uenguaji yai, njia hii kwa kiasi
fulani huweza kuwasaidia wale wenye mzunguko wa siku 28, lakini pia
haina uhakika wa 100%, wengi wa wanawake hawaengui yai siku ya 14 ya
mzunguko wa hedhi, kwa hiyo kutegemea kalenda kutakuchelewesha
kupata ujauzito.
5. unapotaka kushika mimba, acha au punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe, sigara au dawa za kulevya.
6. unapotaka kupata mimba, tendo la ndoa liwe kitu 'enjoyable' na sio
tendo 'mechanical' kwa ajili ya kutafuta mtoto. Plan a romantic
evening or try something different to spice things up. How you are
feeling sexually may increase your chances of getting
pregnancy. For women a better orgasm may help pull the sperms into the
uterus and for men a better orgasm may increase their sperm count.
7.Kufanya mapenzi katika mtindo (style) ambayo itafanya mbegu za kiume
zikae kwa muda mrefu ukeni na hivyo nyingi kupanda kuingia
kwenye kizazi na kwenda kurutubisha yai. 'missionary position' ni nzuri
zaidi, ambapo mwanaume anakuwa juu, epuka positions za
mwanamke kuwa juu kwani hufanya mbegu zimwagike kwa gravity.
Jaribu pia kuweka mto chini ya kiuno ili kukiinua na kufanya mbegu
ziingie ndani kwa urahisi zaidi.
Kumbuka kuna asilimia 10 - 25 ya couples ambazo zina matatizo ya
infertility lakini vipimo havionyeshi tatizo, inaweza kuwa namna ya
kufanya mapenzi ndio ikawa shida, jaribu njia hizo 7 juu.
Kama hizi njia hazijakusaidia basi utakuwa na matatizo na unaweza kumuona daktari kwa msaada wa vipimo na matibabu.
Natumaini uzi huu unaweza kuwa msaada kwa watafutao watoto.
Kwa msaada zaidi piga 0784778788