Habarini,kwa madada na kinamama huu mstari mweusi chini ya kitovu(linea negra) una maanisha kuwa mtu yupo fertile na ana uwezo wa kuzaa,Je kama mwanamke hana maana yake hatoweza kuzaa?au mstari huu wa maanisha nn?
JE UNAJUA MSTARI MWEUSI CHINI YA KITOVU KWA WAJAWAZITO UNAMAANISHA NINI?