TAFITI za kitabibu zinaonyesha kuwa mwanamke asikiapo maumivu haya anatakiwa kuchukua hatua za haraka bila kuchelewa kabla afya yake ya uzazi haijazorota na kumletea ugumba. Maumivu wakati wa kushiriki tendo yanaashiria hatari katika afya ya uzazi iwapo yanakuwa na dalili zifuatazo: i. Iwapo anaumia tangu mwanzo wa tendo mpaka mwisho. 


ii. Iwapo anaumia muda mchache au hata saa kadhaa baada ya tendo kukamilika.
iii. Iwapo anapata maumivu chini ya kitovu kushoto na kulia au upande mmoja wakati tendo linaendelea. iv. Iwapo anapata maumivu ya kiuno kwa nyuma na pia kwenye mapaja wakati wa tendo au baada.
v. Iwapo mwanamke anapata maumivu haya na pia anatokwa na uchafu katika via vyake vya uzazi mithiri ya maziwa ya mtindi au rangi nyingine kama njano, brown, kijani au…

 
Top