Punyeto ni nini?
Hii ni tabia ambayo mwanamke au mwanaume anajichua sehemu za siri ili kufika kileleni, mara nyingi kitendo hiki hufanyika na muhusika akiwa peke yake chumbani au bafuni.
Wahanga wengi wa tabia hii ni wanaume kwani huanza katika umri mdogo sana kwasababu ya uoga wa kufuata wasichana na kuangalia video za ngono ambazo huwasukuma kufanya vitendo hivi..
Lakini punyeto huambatana na madhara makubwa ya kijamii na kiafya na leo tutaangalia madhara hayo kumi ya punyeto..


1.       Punyeto humfanya mtu awe mlegevu bila kua na nguvu kabisa mda wote kwani nguvu nyingi sana hutumika kwenye tendo hili.
2.       Ni moja ya chanzo kikuu cha kupoteza nguvu za kiume kwasababu ya kuharibu mishipa ya fahamu wakati mtu akijisugua.
3.       Punyeto hupunguza idadi ya mbegu za kiume{low sperm count} hivyo ni mbaya sana kwa wapenzi wanaotafuta mototo.
4.       Husababisha mtu kusahau sana na kushindwa kufanya vitu kwa makini zaidi.
5.       Humfanya mtu awe mchovu mda wote na kusinzia ovyo kila anapomaliza kupiga punyeto.
6.       Husababisha mwanaume kutoa mbegu haraka kipindi cha tendo la ndo na kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni..{pre mature ejaculation}
7.       Husababisha msongo mkubwa wa mawazo kwani kila ukimaliza tendo hilo unajuta sana na kuapa kwamba hutarudia tena.
8.       Huleta utumwa wa kifikra kwani ukishaanza huwezi kuacha kirahisi{ addiction}
9.       Punyeto husababisha mwanaume au mwanamke kukosa hamu kabisa na mwenza wake hivyo kuleta usumbufu kwenye mahusiano.
0.   Punyeto ni chanzo kikuu cha ngono za jinsia moja shuleni na vyuoni ambazo huambukiza magonjwa ya zinaa kama kaswende, gono na ukimwi kirahisi sana.
 
Top