Mtoto anahitaji kuwa na ratiba ya mlo wake wa wiki nzima itamsaidia kula lishe sahihi yenye mkusanyiko wa virutubisho vingi kwa pamoja.Kumbuka kwa mtoto wa kuanzia miaka 2-3 anaweza ongea jaribu kuwasiliana nae muulize unajisikia kula nini ili aweze kula sio unachojisikia kula wewe na yeye ndio hiko hiko,mpe uhuru wa kuchagua .Itamsaidia kukataa kula kwa namna nyingine.
Huu ni mfano wa ratiba anayotakiwa kula mtoto ukiangali hapo kuna virutubisho vyote wanga,protein,mafuta,kabohdrate,na vinginevyo vingi ,zingatia kumpa maji ya kunywa kwa wingi kuliko juice ,epuka asile vitu vya sukari kwa wingi kabla ya kula ndio chanzo cha kumtoa hamu ya kula .
Copy -print out hii ratiba na bandika kwenye friji au mlangoni jikoni inakuwa rahisi kuona kila siku hata kwa msaidizi wa mtoto kuisoma.Iwapo huoni vizuri hii ratiba zoom -au bonyeza sehemu ya ratiba utaona.