Image result for beautiful black skin photoKila mtu hasa wanawake wanapenda kuwa na ngozi nzuri yenye afya na mng'ao angavu! 

Bila kupoteza muda kwa maneno mengi, tengeneza mojawapo wa aina hizi za juisi:

MOJA: Chukua karoti 4 zimenye na katakata vipande vipande, Chukua kiazisukari (beet root) kimoja na kikate vipande vipande na robo inchi ya mzizi wa iliki (ginger root). Weka vitu vyote hivyo kwenye blenda, kisha saga juisi. Jenga mazoea ya kunywa juisi hii utaona faida yake kwa ngozi yako.

PILI: Chukua vipande vya nanasi kiasi cha kikombe kimoja, Menya embe moja na kata vipande vipande, Menya tango moja na kata vipande vipande na nusu limao (usilimenye). weka vitu vyote hivyo kwenye blenda na saga juisi. 
 
Top