Diet ya asali na Limau diet inasaidia kupunguza tatizo la uzito
mkubwa/unene . Obesity ni hali ya mwili unapokuwa unamafuta mengi
kupindukia na mafuta hujitokeza katika tishu za mwili, kwenye moyo,
mafigo, ini na viungo kama vile nyonga, magoti na vifundoni na hivyo,
watu wenye uzito mkubwa pia ni rahisi kukabiliwa na magonjwa kadhaa
kama kisukari, shinikizo la damu, arthritis, ini na nyongo ya kibofu cha
mkojo kupata matatizo.
Asali ni njia nzuri ya asili ambayo unaweza kutumia kwa ajili ya Obesity na kupunguza kwa viwango vya cholesterol mwilini.
Kufunga/Fasting kwa asali na lemon-juisi, chakula alkali, ina manufaa katika matibabu ya Obesity bila kupata hamu ya kula.
Kwa ajili ya tiba hii ya asili,
changanya kijiko moja ya asali mbichi (unheated) na vijiko viwili vya
maji ya limau au ndimu katika glasi ya joto au maji vuguvugu (si
kuchemsha maji!).
Kunywa mchanganyiko huu wa asali na
limau/ndimu kila unapoamka asubuhi tumbo likiwa tupu. Pia unatakiwa
kunywa mchanganyiko huu mara baada ya mlo kubwa na vyakula vya mafuta,
hii inarahisisha kwenye digestion .
Ukiendelea na tiba asili ya
kupunguza uzito unatakiwa kuzingatia kanuni kama vile kutengeneza tabia
katoka milo unayokula pia kujenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili mara
kwa mara.
Kama Umeipenda na Imekufundisha SHARE na Marafiki... fb na twitter