Jibu: Njia ya mdomo inaweza kuchangia mtu kupata VVU kama mtu atakutana na mtu mwenye.
VVU
mwenye vidonda au michubuko mdomoni nawe pia ukawa una michubuko au
vidonda mdomoni, ili kuweza kupata VVU kwa njia ya mate inabidi kulamba
mate lita 2 jambo ambalo ni gumu.Credit: Tubonge via Manyanda Healthy