Timu ya watafiti kutoka chuo cha Columbia Univesity kimebaini simu za kisasa za smartphone zinaweza kupima kwa haraka na urahisi virusi vya Ukimwi na magonjwa wa zinaa.
Kwa
kutumia App ambayo una-install kwenye smartphone ama iPad, halafu
unaunganisha kwenye simu kupitia tundu la kuwekea headphone, basi majibu
ya vipimo hivyo yanapatikana ndani ya dakika 15!
Kifaa hicho kinapatikana kwa gharama ya Dola 34 (sawa na sh. 55,000/= Tshs).
Inasemekana
hadi sasa wanawake 96 kutoka Uganda wamefanyiwa vipimo kwa njia hiyo na
kupata majibu yanayoridhisha na kuchapishwa kwenye jarida la masuala ya
sayansi na tiba Uganda.
Chanzo:Millardayo.