Moja
ya vitu vinavopelekea ugonjwa huu kushindwa kutibika ni ishu ya
wagonjwa wengi kufikishwa hospitali wakati ikiwa tayari kansa ikiwa
imeathiri sehemu kubwa ya mwili.
Kipimo hicho cha ‘Breathlyser‘ kiko kwenye majaribio, kikithibika kugundua tatizo hilo kitarahisisha kuokoa maisha ya wagonjwa wa kansa ambayo iko katika hatua ya kwanza.
Kwa sasa kiko kwenye majaribio na huenda kikaanza kutumika muda wowote.
Kifaa hicho kimegundulika na engineer Billy Boyle ambaye mke wake alifariki kwa kansa ya utumbo mwaka 2012, anaamini ugunduzi wake huo ni msaada kwa watu wengi duniani.
Chanzo:Millardayo.