Ni siku nyingine tena tunakutana kwenye
lovezone yetu kama ilivyo ada nitakuwa
nakuletea maada mbali mbali zinazohusu
mahusiano, leo nakuletea maada inayohusu
vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la
ndoa. tililika na maada hapa chini PILIPILI
Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula
ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata
mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati
mwingine hata jasho kutoka au kamasi
kutoka. Kwenye pilipili kuna kitu kinaitwa
capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe na
hali ya ukali ambao huwezesha ubongo
kutoa homoni ya endorphins ambayo
katika hali ya juu huleta mgusu wa hisia
za raha. Pia pilipili husisimua mfumo wa
ufahamu (nerves) wa ubongo na katika
kufanya hivyo huwezesha kumshwa haraka
kimapenzi (kunyegeka) na pia ili ukiguswa
au kubusiwa au kunyonywa au kupapaswa
uweze kupata hisia kila sehemu NAFAKA
Nafaka
zina nyuzinyuzi (fibre) na sukari ngumu
(complex sugar) ambazo kusaidia kutunza
uzito wa mwili. Nafaka husaidia katika
kuzalisha homoni za testosterone kwenye
damu. Na pia nafaka huwezesha mtu kuwa
na nguvu hatimaye kwenda masafa marefu
wakati wa tendo. Kula nafaka nzima kama
vile brown bread badala ya white bread,
pia kula nafaka halisi badala ya cornflakes
ni jambo zuri linalokuhakikisha afya njema
na mahusiano mazuri ya ndoa yako
MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI.
Mlo wenye matunda na mboga za majani
una matokeo makubwa sana katika hamu
ya tendo la ndoa kwa njia nyingi. Kwanza
matunda na mboga za majani hupunguza
kiwango cha mafuta na unene (cholesterol),
kuongezeka kwa mafuta mwilini huzuia
mzunguko wa damu kwa kubana mishipa
ya damu. Pia kula matunda na mboga za
majani huhakikisha balance ya uzito kwani
unene (obesity) kwa wanaume kuna
matokeo mabaya katika kuzalisha homeni
za testoeterone na hatimaye jogoo
kushindwa kuwika na kuwa na libido
kidogo. Na pia wanandoa wanapozidi
kunenepeana ndipo na hali ya kufurahia
au kutaka au hamu ya tendo la ndoa huzidi
kupungua. TANGAWIZI
Tangawizi ni chakula ambacho husisimua
sana mfumo wa mzunguko wa damu
mwilini, na tangawizi zinajulikana sana
kwa kusukuma damu kwenda sehemu za
viungo vya uzazi yaani uke na uume.
Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa au
kuanikwa na kuwa kama unga. ASALI
Asali
ina madini yanayoitwa boron, ambayo
husaidia mwili kutumia homoni ya
estrogen ambayo ni homoni inayohusika na
viungo ya uzazi na mapenzi kwa
mwanamke. Pia kuna utafiti unaoonesha
kwamba asali huongeza nguvu, kitendo
ambacho kitapelekea mwanamke kuwa
uwezo na hamu ya tendo la ndoa au libido.
KARANGA
Karanga
huhusika moja kwa moja na kutunza
mfumo wa mzunguko wa damu kuwa na
afya (vascular system). Pia mfumo wenye
afya (mzunguko wa damu) katika uke na
uume huwezesha mwanaume na
mwanamke kupata msisimko wa mapenzi
haraka hatimaye tendo la ndoa kuwa zuri.
Pia karanga zina madini muhimu kama
vile magnesium, asidi ya folic na zinc
ambayo ni muhimu sana katika usalishaji
wa mbegu za mwanaume. OYSTERS
Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini ya
zinc na haya madini ndiyo huhusika zaidi
na uzalishaji wa homoni ya testosterone
kwa wanaume. Pia imethibitika kwamba
wanaume wenye ukosefu wa madini ya zinc
huwa na matatizo ya nguvu za kiume na
wakati huohuo kuwa na madini mengi ya
zinc mwilini huongeza kiwango cha
shahawa. 
SOYA
Pamoja na kuwa na kiwango kidogo sana
cha fat na pia kuwa na kiwango kizuri cha
protein, soya zina phytoestrogens ambayo
husaidia sana wanawake ambao wamefikia
menopause kutengeneza homoni estrogen
ya ziada. Husaidia uke kuwa laini (wet,
lubricated) mwanamke akisisimliwa wakati
wa tendo la ndoa.
 CHOCOLATE
Chocolate ina phenylethylamine, kemikali
ambayo husababisha hisia (feelings) za
furaha wakati wa mwanamke au
mwanaume kufika kileleni (orgasm)
 
Top