Leo napenda nizungumzie jambo moja tu ambalo ni juu yajambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele(i.e fruitful/productive/fertileday), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaaniidadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa la wanawake wana fallkwenye range ya siku 22-35. Japo walio-normal wana siku 28. Vile vile kuna wengine huwa na menstralcycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo walio na menstral cycle fupi, mathalani wale wenye siku 22, huwavilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period), yaani damu inaweza kukatika ndani yasiku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period)ambapo wengine huwachukua hata siku kati ya 5 hadi 8.Hivo basi, kama wewe ni mwanaumeinakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako juu ya hayo niliyoyasemahapo juu ili ikusaidie kui-pin point ile fertile day (yaani siku ya mimba).Swali: Je siku ya mimba ni ipi?Jibu lisilosahihi: Watu wengi na hata baadhi ya wanasayansi wanafikiri siku ya mimba ni ile ya 14 baadaya dalili za kwanza za damu ya hedhi! Wao huhesabu kuanzia siku ile damu ilipoanza kutoka hadi siku ya14! Utaratibu huu ume-prove failure! Hii ni kwa sababu wanawake wana menstral cyclezinazotofautiana kwa urefu. Hivo basi jibu sahihi ni hili hapa chini:Jibu sahihi:1. Kwanza inabidi ujue kama mwenziwako ana menstral cycle ipi? Fupi au ndefu, ama zote mbili?2. Baada ya kujua urefu wa menstral cycle ya mwenzi wako then pin point siku ile ya mwisho halafuuhesabu backwards siku 15 kuanzia siku ile ya mwisho. Siku hii ya 15 kuanzia mwisho ndiyo siku yamimba kwa mwanamke yeyote!Once you know the '15th day' from the last one, then you can manoeuvre whatever you want to getherpregnant or to avoid pregnancy!With this new approach of pin pointing the fertile day you will find that all women (menstral cycles)are covered, whereas the old way of counting fits only to women whose menstral cycles are 28 days!Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine:1. Kama mwanamke ana menstrationcycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanzaitabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapachini:1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th,20th, 21st, 22nd.Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku yakumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimbakwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st dayndiyo siku anayoanza ku-bleed!2. Kama mwanamke ana menstrationcycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanzaitabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapachini:1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th,20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th.Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku yakumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimbakwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st dayndiyo siku anayoanza ku-bleed!3. Kama mwanamke ana menstrationcycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanzaitabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapachini:1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th,20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku yakumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwamwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyosiku anayoanza ku-bleed!4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANOWA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote zamenstration cycle kamakawaida:1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku yakumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyosiku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 15. Akumbukekwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wakundi hili anaweza kupata mimba!Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyoambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa. Mwanamke wa aina hiianaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani sikuambayo yai moja linaanza kuharibikandio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pililinakuwa tayari kurutubishwa!Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au ku-feel ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwakurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damukwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed. Pia wanawake wa kundi hili huwawanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu; na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!Jambo la kushangaza ni kwamba, wanawake wengi hawana knowledgeya kutosha juu ya hilisuala la siku ya mimba; hasa wale ambao wana menstration cycle inayobadilikabadilika! Waohusitukia tu wameanza ku-bleed. Ndo maana hawawezi hata ku-plan kutopata mimba! Hawanaujanja kabisa ndio sababu wengi wanatumia sindano na njia zingine nyingi za artificial ambazomwisho wa siku huwaletea matatizo ya uzazi, kwani nyingi hu-block njia ya uzazi! Nimeonawengi wenye matatizo ya uzazi unaosababishwa na hizi artificial family planning. Wenginehulazimika kwenda hospital kuzibuliwa ili wapate mimba jambo ambalo ni hatari kwa afya zao!Full maelezo ya kujitosheleza, ukikosa kudaka au kudakisha mimbabasi kuna walakini
 
Top