Kisukari ni ugonjwa utokanao na ongezeko la chembechembe za

sukari (glucose) katika damu.Ongezeko hili husababishwa na;

- mwili kushindwa kutengeneza homoni ya insulin

- kutengeneza insulin isiyo bora

- kushindwa kuitumia insulin inayotengenezwa mwilini (insulin

resistance)

Aina za Kisukari

Ziko aina kuu tatu

1. Aina ya kwanza (type 1)

2. Aina ya pili (type 2)

3. Kisukari wakati wa ujauzito (Gestational Diabetes Mellitus)

Aina ya kwanza (Type 1)

  • Hii ni aina ya kisukari kinachotokea tangu utotoni

  • Mtoto hushindwa kutengeneza homoni ya insulin kwa sababu


mwili hushambulia kimakosa seli zinazotengeneza insulin katika

ogani ya kongosho (pancreas)

  • Ugonjwa huu hutokea kutokana na urithi wa kijenetikali

  • Tiba yake ni mgonjwa kuendelea kutumia matibabu ya insulin


maisha yake yote.

Aina ya pili (Type Two)

  • Hii hutokea mara nyingi ukubwani kwa sababu ya


- Mwili kushindwa kutengeneza insulin sahihi

- Mwili kushindwa kutumia insulin iliyotengenezwa tayari

2

(insulin resistance)- hii hutokana mara nyingi na unene

kupita kiasi.

- Vilevile ugonjwa huu una tabia ya kurithiwa.

Aina hii ya kisukari ndio hatari zaidi kwani

- inachangia zaidi ya 70-80% ya wagonjwa wote

- inazidi kuongezeka kwa sababu watu hawapo makini na

lishe na aina ya maisha wanayoishi (kutofanya mazoezi)

inapelekea watu wengi kuwa na unene uliopindukia

(obesity) na hivyo kusababisha mwili kushindwa kutumia

insulin yake (insulin resistance) na hivyo kupata kisukari.

* Kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia aina ya pili ya

kisuari imeathiri watoto wengi kuliko aina ya kwanza.

Dalili za Kisukari

  • Kuna dalili nyingi za kisukari, muhimu ni pamoja na


1. Kunywa maji mengi mara kwa mara

2. Kula chakula kingi kupindukia

3. Kukojoa mara kwa mara

4. Kupata ganzi katika mikono na miguu

5. Mwili kuchoka haraka

Madhara ya ugonjwa wa Kisukari

  • Yapo madhara ya muda mfupi na ya muda mrefu

  • Ya muda mfupi ni pamoja na kupoteza fahamu na hata kufa


(ketoacidosis), kupungukiwa na electrolytes

  • Ya muda mrefu ni pamoja na athari katika moyo, mfumo wa


fahamu, macho na figo.

  • Kupungukiwa nguvu za kiume ni tatizo la msingi katika jamii.


Matibabu ya ugonjwa wa kisukari

  • Matibabu ya ugonjwa huu yapo katika njia mbili kuu


- matibabu kwa matumizi ya dawa za hospitali

3

- matibabu kwa kuboresha aina ya maisha yaani mazoezi,

kupunguza uzito na kutumia lishe bora Kuboresha aina ya

maisha

  • Mbinu hii ina umuhimu mkubwa katika matibabu ya kisukari


kama ilivyo kwa dawa za hospitali hivyo ni vyema mgonjwa

akafanya vyote…..

- mgonjwa azingatie dawa zake za hospitali

- mgonjwa afanye mazoezi walau kwa dk 30 kwa siku

- mgonjwa azingatie lishe bora hasa kwa kutumia bidhaa za

nyongeza ya lishe (supplements)

KWANI NDIZO ZINAZOWEKA KUSAIDIA KUONDOKANA KABISA NA HILO TATIZO KWANI KUWEZA KURUDISHA SELL HAI ZOTE ZILIZOKUFA NA KUFANYA KISUKARI KUKAA NORMAL YAN 3.5-6.5

KWA MSAADA ZAIDI PIGA 0784 778788 UTASAIDIWA


 
Top