Asubuhi tuliangazia dalili za shinikizo kubwa la damu, napenda kwa sasa tujifunze namna ya kuepuka kuingia kwenye tatizo hilo sasa: 

Jinsi ya kuepuka tatizo: 
  • Epuka vyakula vyenye mafuta mengi na chumvi nyingi
  • Epuka mafuta yenye asili ya wanyama
  • Epuka kuwa na uzito uliozidi
  • Punguza kula nyama hasa nyama nyekundu
  • Epuka matumizi ya pombe, sigara na tumbaku
  • Kudhibiti msongo wa mawazo
  • Fanya mazoezi angalau dakika 30 kila siku\
 
Top