Kwa mnaokula pweza, sikieni hii: SIKIA HII FRMHivi karibuni niliamua kufanya
biashara ya Pweza hivyo nikaona ni vyema nifanye
utafiti wa kina kabla ya kuanza. Hii ni biashara
nzuri hapa Dar na mtaji wake sio mkubwa pia
inatoa fursa kwa vijana wetu. Kilichonishtua ni
kuwa daktari mmoja alinieleza kuwa Pweza
huongeza protein muhimu mwilini na hawana
uhusiano na kuongeza Nguvu za kiume wala si
kichocheo cha body metabolism. Hapo nikapata
shauku ni kwa nini wateja wa hii kitu hupata Nguvu
za ziada za mambo ya kikubwa pindi tu walapo
hao pweza au kunywa mchuzi wake? Jibu
lilinishtua sana maana hata mie ni mpenzi wa
hawa Pweza na hata supu yake. Kumbe wauzaji
huwa wananunua dawa ya kuongeza nguvu za
kiume Viagra aina ya Sildenafil na kuchemshia
Pweza kabla ya kuwakaanga. Nikafanya uchunguzi
kwa vijana kama wanne wanaofanya hii biashara
maaeneo ya Ferry na Kariakoo wakathibitisha
kuchanganya na Viagra. Sikuishia hapo nikaenda
kwenye Pharmacy moja na kudadisi ambapo
Mfamisia mmama mtu mzima alibainisha kuwa ni
kweli ana wateja wengi sana wa Viagra hio ambayo
ni mahususi kwa kuchanganya na Chakula au
Kinywaji. Aisee niliacha kula Pweza wa magengeni
na sikuwa na hamu ya hio biashara nono.
Nawashauri wapenzi wa Sea Foods hasa Pweza

wanunue moja kwa moja Sokoni
 
Top