Kila mmoja anajua kuwa njia mojawapo ya kupata afya bora zaid na inayoongoza ni kunywa maji mengi kila siku.Lakini uliwahi kufahamu kuwa kunywa maji kutoka kwenye chupa kuna madhara makubwa kwa mazingira na mtumiaji pia.Watu kutoka katika kampuni ya "STORY OF STUFF" waliamua kutengeneza video ambayo itakusaidia kufahamu kwa nini hutakiwi kutumia maji ya chupa kwa afya yako pamoja na faida za mazingira kwa ujumla.Wametoa maelezo mengi sana kuhusu maji ya chupa,Kitu cha kwanza cha kujiuliza tu ni kuwa ni kiasi gani cha chupa kinazalishwa kila siku kwa matumizi ya mtaani ambapo huchafua mazingira.
TAZAMA HII VIDEO KWA MAKINI NA SHARE KWA WENZAKO UJUMBE UWAFIKIE