Dalili:
1. Mmeng'enyo hafifu wa chakula
2. Kutapika au kuvuja damu huwezo tokea.
3. Kichwa kuuma.

4. Maumivu ya tumbo na kutojisikia kawaida.
5. Na vidonda vilivyokomaa vyaweza badilika kuwa rangi nyeusi vyenye damu ndani yake.

Chanzo:
1. Unywaji wa pombe au kahawa uliopindukia.
2. Vyakula vya kukaanga na kukausha pamoja na viungo.
3. Msongo wa mawazo

Mapendekezo:
1. Ondoa viungo, pilipili, vileo, kahawa na vyakula vya kukaangwa vyenye mafuta na vifananavyo na hvyo.
2. Vyakula vinavyochochea na aspirin viepukwe.
3. Kunywa maziwa kwa kiasi, cream, siagi(cheese), ndizi, oatmeal.
4. Kula vyakula kama myai ya kuchemsha, viazi mviringo vya kuchemsha au pika bila mafuta, mchuzi wa tambi na crackers

Virutubisho muhimu vya kutumia:
1. Aloe gel (juice)
Huondoa maumivu ya aina zote, ni antibiotic, hutengeneza chembechembe hai za damu, husaidia mmeng'enyo wa chakula, fiber na alkaline

2. Lyceum plus
(Kwa wenye pressure ya kupanda, pata ushauri kwa dactari). Inazuia ongezeko la vidonda vya tumbo tumboni na ya uhakika.

3. Bee propolis & Garlic thyme:
anti-biotic alisia, inaua bacteria na vitusi. Pia huongeza nguvu juu ya kinga za mwili.

4. A beta care:
Ni maarufu kwa kukata sumu kwa uharaka zaidi, inazuia maambukizi. Na inatengeneza na kurekebisha tishu za mwili.

5. Fields of green:
Ina madini ya alfalfa yatokanayo na mimea ya shambani, ina pH kubwa ambayo husawazisha kiwango cha acid mwilini.

Kwa mawasiliano zaid wasiliana nasi kupitia +255784 778788

 
Top