Habari za weekend mdau wangu wa www.afyazetu.com naamini kwamba utakuwa mzima kwa siku hii ya leo.
Kwanza kabisa ifahamike kwamba kitendo cha kutoa mimba katika nchi yetu ni kosa la kisheria,
Lakini pia kitendo hicho huweza kuwa namadhara kwa sababu wengi wanaotoa mimba hawatoi mimba chini ya uangalizi wa kitaalamu hivyo kusababisha zoezi hilo kuharibiwa kuta za mji wa mimba.
Pia mbali na kusababisha uharibufu wa kuta hizo, lakini pia huchangia maambukizi kwenye mji wa mimba na pia kuharibu mfumo wa mji wa mimba.
Endapo madhara haya yatajitokeza basi inawezekana mtu kukosa mtoto kwa sababu ya kuharibu kizazi.
Endapo madhara haya yatajitokeza basi inawezekana mtu kukosa mtoto kwa sababu ya kuharibu kizazi.