Kitunguu swaumu (Garlic) mpaka sasa kimeripotiwa kuwa na matumizi 125 ya kitabibu kwa binadamu. Matumizi yafuatayo ya kitunguu swaumu ndio yamefanyiwa utafiti wa kitalaamu wa kitabibu:
- Kupunguza tatizo la damu kuganda katika mishipa ya damu (reduce blood clotting) na ugonjwa wa shinikizo la damu (blood pressure): tafuna punje ya kitunguu swaumu kila mara au tumia unga wa kitunguu swaumu kwa kuweka kiasi kwenye maji ya moto au chai na kunywa.
- Kuzuia Saratani ya Tumbo (Stomach cancer): Kula mara kwa mara kitunguu swaumu husaidia kuepusha kupatwa na saratani ya tumbo.
- Kinga ya Mwili (Immune system): Ulaji wa kitunguu swaumu husisimua utendaji kazi wa macrophages utendaji kazi wa T cells.
- Husaidia kukakamaa kwa mishipa ya damu ya Arteries (Atherosclerosis), kupunguza cholesterol (blood lipids) na tatizo la mzunguko wa damu mwilini (peripheral vascular disease): Tumia mafuta ya kitunguu swaumu au tafuna punje za kitunguu swaumu mara kwa mara.
- Kutibu Minyoo aina ya Threadworms: Saga punje kadhaa na weka kwenye glasi ya maziwa ya vuguvugu/moto na kunywa asubuhi kabla hujala chakula chochote.
- Miguu kufa ganzi (Leg numbness) na Sciatica pain relief: Saga punje kadhaa za kitunguu swaumu au chukua kisi kidogo cha mafuta ya kitunguu swaumu weka kwenye glasi ya maziwa moto. Kunywa mara 1 - 3 kwa siku hadi utakapopata nafuu.
Kama unahitaji Swaumu ambacho kimeshaandaliwa kitaalamu kama Vidonge tupigie 0625539100