Wauzaji wa mbogamboga na matunda
katika maeneo yanayo zunguka soko kuu la kariakoo maalufu kama wachuuzi
wengi wao wamekuwa hawazingatii suala zima la afya ya mlaji,jambo la
kushangaza mamlaka husika zipo lakini hawachukui hatua juu ya jambo hili.